#Nani Mkali Bolt Au Gatlin?

#Nani Mkali Bolt Au Gatlin?

by -
0 434
Fainali ya mbio za mita 100m mjini Beijing, China Jumapili.

Wanariadha hodari wa mbio fupi duniani –Usain Bolt wa Jamaica na Justin Gatlin wa Marekani watakutana tena katika shindano la Relay.

Mabingwa hao wanatarajiwa kumenyana tena katika mbio za kupokezana vijiti, baadaye Agosti hii mjini Beijing,Uchina.

Jumapili iliyopita Usain Bolt alimshinda Justin Gatlin katika fainali ya mbio za mita 100, kuwania ubingwa wa dunia huko Beijing.

Katika relay kila mmoja atawategemea wanariadha wenzake kujaribu kushinda nishani ya dhahabu.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES