Rwanda Yaandaa Michezo Ya Sekondari Afrika Mashariki

Rwanda Yaandaa Michezo Ya Sekondari Afrika Mashariki

by -
0 468

Michezo ya shule za sekondari kanda ya Afrika Mashariki ilianza rasmi Jumatatu nchini Rwanda.

Wanamichezo chipukizi kutoka Kenya, Uganda, Rwanda, Tanzania, Burundi na Sudan Kusini wanashiriki michezo hiyo ambayo ni fani tofauti.

Kenya ina matumaini ya kushinda teji la jumla ambalo Uganda ilishinda kakita makala ya 13 ya mwaka 2014.

Tangu mashindano hayo yalipoanza miaka 14 iliyopita Kenya imekuwa akishinda ubingwa wa riadha.

Uganda na Tanzania ndio tisho kubwa katika kandanda.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES