Rais Uhuru Amtetesha Raila Hadharani.

Rais Uhuru Amtetesha Raila Hadharani.

by -
0 330

Rais Uhuru Kenyatta amemshtumu hadharani kiongozi wa upinzani Raila Odinga akisema ana dharau.

Rais alisema hatua ya Raila kukosoa serikali kila mara inaathiri utendakazi na maendeleo ya nchi.

Matamshi ya rais yanajiri baada ya Raila kutilia shaka mktaba wa kibiashara kati ya Kenya na Uganda uliwekwa saini juzi kati ya rais Uhuru na mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni.

Katika mkataba huo, Uganda itauza sukari yake ya bei ya chini humu nchini huku taifa hili nalo likiuza maziwa nchini humo.

Wawili hao walikuwa wamehudhuria kongamano la kikanda katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES