#Mwanadada Fatuma ni Brigedia wa KDF

#Mwanadada Fatuma ni Brigedia wa KDF

by -
0 1429

Kenya imepata mwanamke wa kwanza mwanajeshi kuwahi kufanya kazi hadi cheo cha Brigadier.

Mwanamke huyo ni Fatumah Ahmed ambaye ameteuliwa na rais Uhuru Kenyatta katika cheo kikubwa katika jeshi la Kenya –KDF.

Fatumah sasa ndiye mkurugenzi mkuu wa kitengo cha bima ya matibabu katika jeshi la KDF.

Wakenya wamempongeza Bi. Fatuma kupitia mitandao ya kijamii, hatua ambayo inaonesha nia ya kuwapa wanawake uwezo zaidi katika uongozi.

Comments

comments