Kijana Apigwa Risasi Na Polisi Mtaani Chaani.

Kijana Apigwa Risasi Na Polisi Mtaani Chaani.

by -
0 368

Polisi wanadaiwa kumuua kijana barobaro kwa kumpiga risasi eneo la Chaani eneo bunge la Changamwe hapa Mombasa.

Polisi walidai kwamba kijana huyo alikuwa katika genge la majambazi, waliovunja duka mola la kuuza simu.

Yasemekana wenzake walitoroka na yeye akasalia ndani ya duka hilo na kukaidi amri ya maafisa wa polisi,ambapo alimiminiwa risasi.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES