Mbunge Ataka Sheria Kuhusu Mbuga Za Wanyama Kubadilishwa

Mbunge Ataka Sheria Kuhusu Mbuga Za Wanyama Kubadilishwa

by -
0 410

Mbunge wa Kilifi Kaskazini Gedion Mung’aro anapendekeza sheria kuhusu mbuga za wanyama pori nchini zibadilishwe, ili wakaazi wanaopakana na mbuga wanufaike na mapato ya mbuga hizo.

Mung’aro anasema mbuga za kitaifa zilizo katika eneo la Pwani zinafaa kubadilishwa ziwe za kijamii, wakazi nao wanufaike.

Mung’aro anasema kaunti za pwani kama Taita Taveta zinapata faida kidogo sana kutokana na mbuga ya Tsavo, licha ya kuwa mbuga hiyo imechukua zaidi ya asilimia 60 ya ardhi katika eneo hilo.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES