Uzinduzi Rasmi wa Mradi Wa LAPSSET Lamu Wasitishwa Ghafla.

Uzinduzi Rasmi wa Mradi Wa LAPSSET Lamu Wasitishwa Ghafla.

by -
0 478

Shughuli ya kuzindua rasmi ujenzi wa mradi wa bandari ya lamu yaani lapset iliyopangwa kufanyika juma lijalo imesitishwa ghafla.

Hakujatolewa sababu mwafaka ya kuahirisha uzinduzi huo.

Uzinduzi wa mradi huo wa shilingi trilioni mbili ulipaswa kufanyika jumatatu ijayo.

Marais wa jumuiya ya afrika ya mashariki wakiongozwa na rais uhuru Kenyatta walitarajiwa kufika.

Mradi huo wa bandari ulifaa kufaidi mataifa ya Kenya,Ethiopia na Sudan kusini.

Comments

comments