Viongozi Wa Kaunti Ya Tana River Watofautiana Kuhusu Bendera.

Viongozi Wa Kaunti Ya Tana River Watofautiana Kuhusu Bendera.

by -
0 384

Utata umeibuika katika kaunti ya Tana River kuhusu jinsi ya kutumia bendera ya kaunti.

Bunge la kaunti hiyo, linanuia kujadili na kamua kuhusu mswada huo, baada ya gavana Hussein Dado, kuridhia pendekezo la kuufanyia marekebisho.

Mswada huo unalenga kudhibiti jinsi viongozi wanavyostahili kuitumia bendera ya kaunti.

Endapo mswada huo utapitishwa na kuwa sheria, atakayeikiuka atatozwa faini ya shilingi laki moja au kifungo cha hadi miezi sita gerezani au hukumu zote mbili.

Comments

comments