MVIZIAJI AMWONYESHA CHRIS BROWN MAPENZI.

MVIZIAJI AMWONYESHA CHRIS BROWN MAPENZI.

by -
0 1665

Story By Aisha Naaman

Wiki iliyopita msichana mmoja kwa jina Amira Ayeb mwenye asili ya Tunisia aliweza kupatikana nyumbani kwa msanii wa marekani Chris Brown na kufanya uharibifu wa hali ya juu kwa madai kuwa alisema yeye ni mke wa msanii huyo .

Kupitia mtandao wa YouTube aliweza kusema kuwa jina lake la mwisho ni Brown. Chris Brown kwa upande wake alisema kuwa ulinzi ulikuwepo na alishangazwa kumpata mwanamke huyo akiwa uchi kitandani kwake baada ya kufanya uharibifu nyumba nzima, sasa basi amejitokeza na kusema kuwa ameamua kubadilisha mfumo wa usalama nyumbani kwake kwa vile ule wa zamani ulikuwa hautoshi ndiposa akampata mwanadada huyo kwake.

amira-ayeb-lives-in-chris-brown-home-for-birthday-surprise-2015

Aliongezea kusema kuwa haoni haja ya kumfungulia dada huyo mashtaka ila anahitaji usaidizi na sio kuwa behind bars.

Alihojiwa na tarakilishi ya TMZ na alikuwa na haya ya kusema.

Comments

comments