HAITATOKEA SIKU MIMI NIFANYE COLLABO NA PLATNUMZ.

HAITATOKEA SIKU MIMI NIFANYE COLLABO NA PLATNUMZ.

by -
0 2539

Story By Aisha Naaman

Hii ni breaking kutoka kwa Alikiba. Je umeshawahi kukaa na kufikiria pengine collabo ya Alikiba na Diamond ingekuwaje? Well! Toa mawazo hayo akilini kwani ni kama ndoto ya alinacha kutaka kunywa maziwa ya kuku.

Star wa hitmaker track Mwana na ambaye hivi majuzi tu alivamiwa na majambazi nyumbani kwake na kuporwa mali zake kadhaa, Alikiba kupitia page ya Facebook amesema kuwa haitawahi kutokea hata siku moja yeye afanye collabo na Rais wa Wasafi a.k.a Diamond Platnumz

Hii injadhihirisha wazi kuwa wasanii hawa kama pamba na moto kwa hiyo there is no way Alikiba atashirikiana na Diamond kufanya collabo.

Lakini kule kwengine Diamond amesema yupo tayari kumsaidia Ali Kiba.

Aliulizwa kama je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao.
Akajibu…..”Kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia, kama nimeweza kufanya na wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na wasanii wetu wa nyumbani……nimeshasaidia wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya nae. Kiukweli mimi nimeshafika level fulani ivyo ni rahisi ata kumtangaza mtu kimataifa, so ikitokea mtu anaitaji nimsaidie mi sina tatizo”

Comments

comments