Mamake Waziri Najib Balala Azikwa Mombasa.

Mamake Waziri Najib Balala Azikwa Mombasa.

by -
0 1163

Viongozi kutoka maeneo mbali mbali nchini wamejumuika na familia ya waziri wa madini Najib Balala katika maziko ya mamake hapa Mombasa.

Kiongozi wa walio wengi katika bunge la kitaifa Aden Duale na seneta wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko wamehudhuria maziko hayo katika makaburi ya Kikowani.

Marehemu Rahma Binti Saleh alifariki usingizini mapema jana akiwa na umri wa miaka.

Miongoni mwa waliotuma risala za rambirambi kwa familia ya Balala ni pamoja na rais Uhuru Kenyatta.

Comments

comments