Viongozi Mombasa waomboleza kifo cha mamake Najib Balala.

Viongozi Mombasa waomboleza kifo cha mamake Najib Balala.

by -
0 884

Viongozi hapa Mombasa wanaendelea kutuma risala za rambi rambi kwa familia na marafiki wa waziri wa madini Najib Balala kufuatia kifo cha mamake.

Marehemu, Rahma Binti Saleh, ameaga dunia leo asubuhi nyumbani eneo la Kizingo, akiwa na umri wa miaka 82 na atakizwa kesho katika makaburi ya Kikoani hapa Mombasa, kwa mujibu wa familia yake.

Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ametaja marehemu kama mwanamke mkarimu na mshupavu ambaye aliheshimika hapa jijini na taifa kwa jumla.

Comments

comments