KNUT yafutilia mbali mgomo rasmi

KNUT yafutilia mbali mgomo rasmi

by -
0 349

Chama cha walimu KNUT kimefutilia rasmi mgomo wao uliodumu siku 12 na kukatiza kufunguliwa kwa shule za umma mwa muhula wa kwanza.

Katibu mkuu Wilson Sossion amesema hatua hiyo imefuatia agizo la mahakama ya viwada kutaka walimu warudi kazini Jumatatu ijayo.

Sossion amesema mizozo baina yao na serikali sasa itatatuliwa na mahakama.

Walimu wanadai nyongesa ya mishahara yao kwa asili mia 150 lakini serikali imesistiza haina pesa hizo.

Comments

comments